Wananchi wakitazama ajali ya boda boda
Askari wa usalama barabarani wakitazama jali ya boda boda eneo la
Ruco baada ya boda boda hiyo kumshinda dereva na hivyo kunagua hali
ya dereva boda boda ni mbaya pia yaelezwa juzi alikuwa amegonga mtu
wilayani Kilolo na jana alitoka polisi