Sehemu ya watumishi wa umma wakiwa kwenye maandamano wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi yaliyofanyika kimkoa Wilayani Kilolo |
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Ally Hapi, wa pili toka kushoto, akiwa na Viongozi mbalimbali jukwaa kuu |
Burudani za kufufuka mtu zilipamba maadhimisho haya Wilayani Kilolo |
Watumishi na viongozi wakijichanganya wakati wa burudani ya kikundi cha ngoma |
Mkuu wa Mkoa akihutubia |
Add caption |
Watumishi wakifuatilia matukio |
Mtumishi hodari toka kitengo cha Sheria Mufindi akipokea zawadi ya 500,000 n na mkono wa pongezi toka kwa Mkuu wa Mkoa |
Mtumishi hodari toka idara ya Fedha akipokea zawadi ya 500,000 na mkono wa pongezi toka kwa Mkuu wa Mkoa |
Mtumishi hodari toka Idara ya ujenzi akipokea zawadi |
Mtumishi toka Idara ya Maliasili akipokea zawadi |
Mtumishi toka Idara ya Mipango akipokea zawadi ya Mtumishi hodari |
Mtumishi kutoka kitengo cha ugavi akipokea zawadi |