HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI
MKURUGENZI MTENDAJI ANAPENDA
KUWATAARIFU WANANCHI WOTE WA WILAYA YA MUFINDI NA TANZANIA KWA UJUMLA KUWA MGAO
WA WANYAMAPORI UMEFIKA. HIVYO KILA MWANANCHI MWENYE SIFA ANAKARIBISHWA KWA
AJILI YA UWINDAJI WA WENYEJI NA WAGENI WAKAZI
S/N
|
AINA YA MNYAMA
|
IDADI
|
|
NYATI
|
5
|
|
SWALAPALA
|
10
|
|
POFU
|
5
|
|
TOHE
|
5
|
|
KONGONI
|
5
|
|
NGIRI
|
5
|
|
NSYA
|
5
|
|
DIGIDIGI
|
15
|
|
KANGA
|
40
|
|
KWALE
|
20
|
|
BATA
|
20
|
|
PAA
|
5
|
|
NGURUWE PORI
|
10
|
|
PONGO
|
5
|
|
NJIWA
|
20
|
J. UBISIMBALI
KNY: MKURUGENZI
MTENDAJI (W),
MUFINDI
No comments:
Post a Comment