Tuesday, September 1, 2015

Ujenzi wa Uwanja mpya wa Chelsea utafanana kitu hiki na Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam (Pichaz)


Klabu ya Chelsea ya Uingereza imeonyesha muonekano wa uwanja wao mpya ambao hadi mwaka
2020 inaripotiwa ujenzi wa uwanja huo utakuwa umekamilika. Bado mashauriano yanaendelea kuhusiana na wakazi wa eneo husika utakapo jengwa uwanja huo.

 2BDA18B000000578-0-image-a-4_1441054162717
Klabu ya Chelsea ya Uingereza imeonyesha muonekano wa uwanja wao mpya ambao hadi mwaka 2020 inaripotiwa ujenzi wa uwanja huo utakuwa umekamilika. Bado mashauriano yanaendelea kuhusiana na wakazi wa eneo husika utakapo jengwa uwanja huo.

Mpango wa mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich ni kutumia pound milioni 500 katika ujenzi wa uwanja huo ili uwe biashara tofauti inayojitegemea mbali na Chelsea. Ujenzi huo ambao unatarajiwa kuanza baada ya miezi 9 kutokea sasa utaifanya klabu ya Chelsea kuhama uwanja wao wa Stamford Bridge na kutumia Uwanja wa Wembley kwa kipindi cha misimu mitatu.

No comments:

Post a Comment