Saturday, April 7, 2018

Breaking News Rais Magufuli Atoa Kibali cha Ajira 1500 kwa Jeshi la Polisi

Rais Dkt John Pombe Magufuli  amempa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro kibali cha kuajiri Askari 1,500 ndani ya jeshi hilo.

Aidha, Rais amemuagiza IGP Sirro kuhakikisha kuwa, vijana wote watakaojiriwa watoke ndani ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Ameyasema hayo leo wakati wa Ufunguzi wa Nyumba za askari polisi na wakati akihutubia wananchi wa Arusha leo hii katika viwanja vya Shekhe Abeid Karume Arusha Mjini

No comments:

Post a Comment