Friday, September 25, 2015

AJALI YA BODA BODA YATOKEA LEO IRINGA MJINI , CHUKUA TAHADHARI AJALI ZINAUA

 
 
 
 
 
 
 
  Wananchi  wakitazama ajali ya  boda  boda
 Askari wa usalama barabarani  wakitazama jali ya  boda boda  eneo la Ruco baada ya  boda  boda   hiyo kumshinda  dereva na hivyo kunagua hali ya  dereva boda boda ni mbaya pia yaelezwa juzi  alikuwa amegonga mtu wilayani Kilolo na jana alitoka polisi 
 
  Hili ndilo gari  ambalo boda  boda huyo aliligonga na kuanguka
 
 

Friday, September 18, 2015

TIMU ZA WATUMISHI MUFINDI ZAANZA MAZOEZI ILI KUSHIRIKI BONANZA LA AMANI,



      
Timu za michezo mbalimbali zinazoundwa na wataumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ya Mkoani Iringa, zimeanza kujifua tayari kwa kushiriki Bonanza la siku mbili ambapo watumishi wa Halmashauri zote za Mkoani Iringa sanjali na wale wa Makapuni binafsi watashindana katika michezo mbalimbali kwa lengo la kuadhimisha siku ya amani duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 21 ya mwezi wa 09.

Thursday, September 10, 2015

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI


TANGAZO LA MGAO WA WANYAMAPORI MUFINDI

                                    
HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

MKURUGENZI MTENDAJI ANAPENDA KUWATAARIFU WANANCHI WOTE WA WILAYA YA MUFINDI NA TANZANIA KWA UJUMLA KUWA MGAO WA WANYAMAPORI UMEFIKA. HIVYO KILA MWANANCHI MWENYE SIFA ANAKARIBISHWA KWA AJILI YA UWINDAJI WA WENYEJI NA WAGENI WAKAZI

MKUU WA MKOA ZIARANI MUFINDI

MKUU WA MKOA WA IRINGA AKIWASILI MAKAO MAKUU YA WILAYA YA MUFINDI

Tuesday, September 1, 2015

Ujenzi wa Uwanja mpya wa Chelsea utafanana kitu hiki na Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam (Pichaz)


Klabu ya Chelsea ya Uingereza imeonyesha muonekano wa uwanja wao mpya ambao hadi mwaka
2020 inaripotiwa ujenzi wa uwanja huo utakuwa umekamilika. Bado mashauriano yanaendelea kuhusiana na wakazi wa eneo husika utakapo jengwa uwanja huo.